Sera ya Maudhui ya Blogger
Blogger ni huduma ya bila malipo ya kuwasiliana, kujieleza na uhuru wa mazungumzo. Tunaamini kuwa Blogger huongeza upatikanaji wa habari, huhimiza mijadala bora, na hurahisisha miunganisho mipya kati ya watu. Ni imani yetu kwamba kudhibiti maudhui haya ni kinyume na huduma inayozingatia uhuru wa kujieleza.Hata hivyo, ili kuendeleza maadili haya, tunahitaji kukabiliana na ukiukaji ambao unatishia uwezo wetu wa kutoa huduma hii na uhuru wa kujieleza unaohimizwa. Kwa hivyo, kuna mipaka kuhusu aina ya maudhui ambayo yanaweza kutumika kwenye Blogger. Mipaka ambayo tumeweka ni ile ambayo inaafikiana na mahitaji ya kisheria na kuboresha huduma kwa jumla.
Kama utaona blogu ambayo unaamini kuwa inakiuka sera zetu, tafadhali tueleze kwa kutumia kiungo cha 'Ripoti Matumizi Mabaya' kinachopatikana sehemu ya juu ya kila blogu chini ya menyu kunjuzi ya 'Zaidi'. Kama mmiliki wa blogu ameficha kiungo hiki, bado unaweza kuripoti matumizi mabaya katika Kituo cha Msaada cha Blogger.
Mipaka ya Maudhui
Sera zetu za maudhui zina jukumu muhimu katika kuwadumishia matumizi mazuri, nyinyi watumiaji. Tafadhali heshimu maelekezo haya. Mara kwa mara, tunaweza kubadilisha sera zetu za maudhui kwa hivyo tafadhali rejelea hapa. Pia, tafadhali kumbuka kuwa wakati wa kutumia sera zilizo hapo chini, tunaweza kutofuata kanuni kwa msingi wa kisanii, kielimu, filamu ionyeshayo hali halisi, au kisayansi au ambapo kuna manufaa mengine makubwa kwa umma kutokana na kutoyachukulia maudhui hatua.
Maudhui ya Watu Wazima:
Tunaruhusu maudhui ya watu wazima kwenye Blogger, ikiwa ni pamoja na
picha au video zenye watu walio uchi au shughuli za kufanya mapenzi.
Lakini, alamisha blogu yako kama ya 'watu wazima' katika mipangilio ya
Blogger yako. Tunaweza kualamisha blogu zilizo na maudhui ya watu wazima
ambazo wenyewe hawajazialamisha. Blogu zote ambazo zimealamishwa
'maudhui ya watu wazima' zitawekwa chini ya kitengo cha 'maudhui ya watu
wazima'. Ikiwa blogu yako ina onyo la kitengo, tafadhali usijaribu
kukiondoa au kuzima kitengo hicho - ni cha kulinda kila mtu.
Sera yetu ya maudhui ya watu wazima inaweza kubatilishwa:
Maudhui Ghafi: Usichapishe maudhui ili kutisha au kuudhi. Kwa mfano, mikusanyiko ya picha za karibu za majeraha ya risasi au matukio ya ajali bila maudhui au maelezo ya ziada yatakeuka sera hii.
Vurugu: Usiwatishe watu wengine kwenye blogu yako. Kwa mfano, usichapishe vitisho vya mauaji dhidi ya mtu au kundi lingine la watu na usichapishe maudhui yanayowahimiza wasomaji wako kuchukua hatua ya vurugu dhidi ya mtu mwingine au kundi lingine la watu.
Unyanyasaji: Usinyanyase au kuwachokoza wengine. Yoyote anayetumia Blogger kunyanyasa au kuchokoza anaweza maudhui yanayochukiza kuondolewa na anaweza kupigwa marufuku kabisa kwenye tovuti. Unyanyasaji wa mtandaoni pia sio halali katika maeneo mengi na unaweza kuwa na athari mbaya sana nje ya mtandao.
Hakimiliki: Ni sera yetu kujibu arifa wazi za madai ya ukiukaji wa hakimiliki. Maelezo zaidi kuhusu taratibu zetu za hakimiliki yanaweza kupatikana hapa. Pia, tafadhali usitoe viungo kwa tovuti ambazo wasomaji wako wanaweza kutekeleza upakuaji usioruhusiwa wa maudhui ya watu wengine.
Maelezo ya kibinafsi na ya faragha: Si sawa kuchapisha maelezo ya kibinafsi na ya faragha ya mtu mwingine. Kwa mfano, usichapishe nambari za kadi ya mkopo, nambari za Usalama wa Jamii, nambari za simu zisizoorodheshwa, na nambari za leseni ya dereva za mtu mwingine. Pia, tafadhali kumbuka kuwa mara nyingi, maelezo ambayo tayari yanapatikana pahali pengine kwenye mtandao au katika rekodi za umma hayachukuliwi kuwa ya kibinafsi au ya faragha chini ya sera zetu.
Kuiga wengine: Tafadhali usiwapotoshe au kuwachanganya wasomaji kwa kujifanya kuwa mtu mwingine au kujifanya kuwasilisha shirika. Hatusemi huwezi kuchapisha mwigo wa kubeza au tashtiti - epuka tu maudhui yanayoweza kupotosha wasomaji kuhusu utambulisho wako halisi.
Shughuli haramu: Usitumie Blogger kujihusisha katika shughuli haramu au kuundeleza shughuli hatari na haramu. Kwa mfano, usiandike blogu inayowahimiza watu kuendesha gari wakiwa walevi. Tafadhali pia usitumie Blogger kuuza au kutangaza mihadarati. Vinginevyo, tunaweza kufuta maudhui yako. Pia, katika hali mbaya kama zinazohusisha unyanyasaji wa watoto, tunaweza kukushtaki kwa mamlaka husika.
Bidhaa na Huduma Zilizodhibitiwa: Usitumie Blogger kuuza au kurahisisha uuzaji wa bidhaa na huduma zilizodhibitiwa, kwa mfano pombe, karata, dawa na nyongeza ambazo hazijaidhinishwa, tumbaku, fataki, silaha au vifaa vya afya/matibabu.
Taka: Taka ni za aina mbalimbali katika Blogger, zote zinaweza kusababisha ufutaji wa akaunti au blogu yako. Baadhi ya mifano ni pamoja na kufungua blogu zilizoundwa kuendesha trafiki kwenye tovuti yako au kuisogeza juu katika orodha ya utafutaji, kuchapisha maoni kwenye blogu za watu wengine ili tu kuendeleza tovuti au bidhaa yako, na kuchapisha maudhui kutoka nyenzo nyingine kwa madhumuni msingi ya kuzalisha mapato au manufaa mengine ya kibinafsi.
}Programu hasidi na virusi: Usiunde blogu zinazosambaza virusi, kusababisha madirisha-ibukizi, kujaribu kusakinisha programu bila idhini ya msomaji au vinginevyo kuwaathiri wasomaji na msimbo hasidi. Haya hayaruhusiwi kabisa kwenye Blogger.
Sera yetu ya maudhui ya watu wazima inaweza kubatilishwa:
- Usitumie Blogger kuchuma pesa kutoka kwa maudhui ya watu wazima. Kwa mfano, usiunde blogu zilizo na matangazo au viungo vya tovuti za biashara ya filamu za ngono.
- Haturuhusu maudhui ya picha, video au maandishi yanayoashiria ubakaji, kufanya ngono na jamaa, wanyama au maiti.
- Usichapishe au kusambaza picha za kibinafsi za uchi au picha za kingono au video zako, tafadhali ziripoti kwetu hapa.
- Ponografia ya watoto:Tutafuta akaunti za mtumiaji yeyote tutakayepata akichapisha au kusambaza ponografia ya watoto. Pia tutamripoti mtumiaji huyo kwa watekelezaji wa sheria.
- Ashiki ya watoto: Haturuhusu maudhui yanayohimiza au kukweza mvutio wa kingono kwa watoto. Kwa mfano, usifungue blogu zilizo na ghala za picha za watoto ambapo mkusanyiko wa picha au maandishi yanayoambatana na picha ni ya kulenga tabia za kingono.
Maudhui Ghafi: Usichapishe maudhui ili kutisha au kuudhi. Kwa mfano, mikusanyiko ya picha za karibu za majeraha ya risasi au matukio ya ajali bila maudhui au maelezo ya ziada yatakeuka sera hii.
Vurugu: Usiwatishe watu wengine kwenye blogu yako. Kwa mfano, usichapishe vitisho vya mauaji dhidi ya mtu au kundi lingine la watu na usichapishe maudhui yanayowahimiza wasomaji wako kuchukua hatua ya vurugu dhidi ya mtu mwingine au kundi lingine la watu.
Unyanyasaji: Usinyanyase au kuwachokoza wengine. Yoyote anayetumia Blogger kunyanyasa au kuchokoza anaweza maudhui yanayochukiza kuondolewa na anaweza kupigwa marufuku kabisa kwenye tovuti. Unyanyasaji wa mtandaoni pia sio halali katika maeneo mengi na unaweza kuwa na athari mbaya sana nje ya mtandao.
Hakimiliki: Ni sera yetu kujibu arifa wazi za madai ya ukiukaji wa hakimiliki. Maelezo zaidi kuhusu taratibu zetu za hakimiliki yanaweza kupatikana hapa. Pia, tafadhali usitoe viungo kwa tovuti ambazo wasomaji wako wanaweza kutekeleza upakuaji usioruhusiwa wa maudhui ya watu wengine.
Maelezo ya kibinafsi na ya faragha: Si sawa kuchapisha maelezo ya kibinafsi na ya faragha ya mtu mwingine. Kwa mfano, usichapishe nambari za kadi ya mkopo, nambari za Usalama wa Jamii, nambari za simu zisizoorodheshwa, na nambari za leseni ya dereva za mtu mwingine. Pia, tafadhali kumbuka kuwa mara nyingi, maelezo ambayo tayari yanapatikana pahali pengine kwenye mtandao au katika rekodi za umma hayachukuliwi kuwa ya kibinafsi au ya faragha chini ya sera zetu.
Kuiga wengine: Tafadhali usiwapotoshe au kuwachanganya wasomaji kwa kujifanya kuwa mtu mwingine au kujifanya kuwasilisha shirika. Hatusemi huwezi kuchapisha mwigo wa kubeza au tashtiti - epuka tu maudhui yanayoweza kupotosha wasomaji kuhusu utambulisho wako halisi.
Shughuli haramu: Usitumie Blogger kujihusisha katika shughuli haramu au kuundeleza shughuli hatari na haramu. Kwa mfano, usiandike blogu inayowahimiza watu kuendesha gari wakiwa walevi. Tafadhali pia usitumie Blogger kuuza au kutangaza mihadarati. Vinginevyo, tunaweza kufuta maudhui yako. Pia, katika hali mbaya kama zinazohusisha unyanyasaji wa watoto, tunaweza kukushtaki kwa mamlaka husika.
Bidhaa na Huduma Zilizodhibitiwa: Usitumie Blogger kuuza au kurahisisha uuzaji wa bidhaa na huduma zilizodhibitiwa, kwa mfano pombe, karata, dawa na nyongeza ambazo hazijaidhinishwa, tumbaku, fataki, silaha au vifaa vya afya/matibabu.
Taka: Taka ni za aina mbalimbali katika Blogger, zote zinaweza kusababisha ufutaji wa akaunti au blogu yako. Baadhi ya mifano ni pamoja na kufungua blogu zilizoundwa kuendesha trafiki kwenye tovuti yako au kuisogeza juu katika orodha ya utafutaji, kuchapisha maoni kwenye blogu za watu wengine ili tu kuendeleza tovuti au bidhaa yako, na kuchapisha maudhui kutoka nyenzo nyingine kwa madhumuni msingi ya kuzalisha mapato au manufaa mengine ya kibinafsi.
}Programu hasidi na virusi: Usiunde blogu zinazosambaza virusi, kusababisha madirisha-ibukizi, kujaribu kusakinisha programu bila idhini ya msomaji au vinginevyo kuwaathiri wasomaji na msimbo hasidi. Haya hayaruhusiwi kabisa kwenye Blogger.
Utekelezaji wa Sera ya Maudhui ya Blogger
Tafadhali tupe ripoti ya tuhuma za ukiukaji wa sera kwa kutumia kiungo cha 'Ripoti Matumizi Mabaya ' kinachopatikana sehemu ya juu ya kila blogu chini ya menyu kunjuzi ya ' Zaidi' au kwa kubofyahapa.Timu yetu hukagua ripoti za wanaotumia huduma kuhusu ukiukaji wa sera. Kama blogu haikiuki sera zetu, hatutachukua hatua yoyote dhidi ya blogu hiyo au mmiliki wa blogu. Kama tutatambua kuwa blogu inakiuka sera zetu za maudhui, tutachukua mojawapo wa hatua zifuatazo, kulingana na kiwango cha ukiukaji:
- Weka blogu nyuma ya skrini ya ' maudhui ya watu wazima & # 39;
- Weka blogu nyuma ya skrini ambapo ni mwandishi wa blogu pekee ndiye anayeweza kufikia maudhui
- Futa maudhui mabaya, chapisho la blogu au blogu
- Zima uwezo wa mwandishi wa kufikia akaunti yake ya Blogger
- Zima uwezo wa mwandishi wa kufikia akaunti yake ya Google
- Ripoti mtumiaji kwa watekelezaji wa sheria
Bwana na awe pamoja na unayoonyesha. Fadhili zake zisizostahiliwa ziwe pamoja nasi. Asema: "Paulo mtumwa wa Mungu na mtume wa Yesu Kristo kulingana na imani ya waliochaguliwa wa Mungu na ujuzi sahihi wa ile kweli ambayo inapatana na ujitoaji-kimungu juu ya msingi wa tumaini la uzima wa milele ambao Mungu, asiyeweza kusema uwongo, aliahidi nyakati za zamani za kale, lakini katika nyakati zake mwenyewe zinazofaha alifanya neno lake liwe wazi katika kazi ya kuhubiri ambayo nilikabidhiwa, chini ya amri ya Mwokozi wetu, Mungu; kwa Tito, mtoto wake kwelikweli kulingana na imani inayoshirikishwa kwa pamoja:
JibuFutaNa kuwe na fadhili zisizostahiliwa na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Mwokozi wetu. Amina.