Ijumaa, 15 Mei 2015
MAFUNDISHO DHIDI YA WAONGOFU WAPYA: Njoni Wenye Dhambi "UFUNUO KUPITIA YESU KRISTO, AM...
MAFUNDISHO DHIDI YA WAONGOFU WAPYA: Njoni Wenye Dhambi "UFUNUO KUPITIA YESU KRISTO, AM...: Kuwaonyesha watumwa wake mambo ambayo lazima yatendeke upesi. Naye alimtuma malaika wake na kupitia yeye akautoa kwa njia ya ishara kwa mtum...
Njoni Wenye Dhambi "UFUNUO KUPITIA YESU KRISTO, AMBAO MUNGU ALIMPA"
Kuwaonyesha watumwa wake mambo ambayo lazima yatendeke upesi. Naye alimtuma malaika wake na kupitia yeye akautoa kwa njia ya ishara kwa mtumwa Yohana, aliyetoa ushahidi kuhusu neno ambalo Mungu alitoa na kuhusu ushahidi ambao Yesu Kristo alitoa, naam, kuhusu mambo yote aliyoyaona. Mwenye furaha ni yeye anayesoma kwa sauti na wale wanaosikia maneno ya unabii huu, na wanaoshika mambo yaliyoandikwa humo, kwa maana wakati uliowekwa uko karibu.
Yohana kwa makutaniko saba yaliyo katika wilaya ya Asia:
Na muwe na fadhili zisizostahiliwa na amani kutoka kwa "Yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, na kutoka kwa zile roho saba zilizo mbele ya kiti chake cha ufalme, na kutoka kwa yesu Kristo, "Shahidi Mwaminifu," Mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, na "Mtawala wa wafalme wa dunia."
Kwake yeye anayetupenda na aliyetufungua kutoka katika dhambi zetu kupitia damu yake mwenyewe- naye alitufanya tuwe ufalme, makuhani kwa Mungu na Baba yake- ndiyo, kwake yeye na kuwe na utukufu na nguvu milele. Amina.
Tenzi za Rohoni namba 34. "Njoni Wenye Dhambi"
Njoni! Njoni! Wenye dhambi,
Njoni, msikawie;
Yesu awangojea ndiye awapendaye;
Ajuaye awezaye
kuwaponya ni yeye.
Ewe muhitaji uje;
Anakukaribisha,
Imani, kweli, na toba,
Neema ya kutosha,
Jua sana, kwake Bwana
Bure utapata.
Njoni, mliolemewa
Na dhambi ya Adamu;
Mkingoja kujiponya
Mtapotea mumu;
Si wa haki, ni wakosa
Waoshwao kwa damu.
Ikamtokea dhiki,
Mle Gethisemani;
Kisha alipoangikwa
Akalia mtini;
"Imekwisha" alitosha
Dhabihu ya thamani.
Kristo aliye Mbinguni
Hutuombea huko;
Basi mtumai yeye;
Kamwe mwingine hako
Yesu pweke, Yesu pweke,
Ndiye Mwokozi wako.
Wamsifu-sifu sana
Mbinguni malaika;
Wachanganya nyimbo zao
Na waliookoka:
Aleluya wataimba
Waliooshwa taka.
"Yeye anayetoa ushahidi juu ya mambo haya asema, "Ndiyo; mimi ninakuja upesi'."
"Amina! Njoo, Bwana Yesu"
Fadhili zisizostahiliwa za Bwana Yesu Kristo na ziwe pamoja na watakatifu.
Yohana kwa makutaniko saba yaliyo katika wilaya ya Asia:
Na muwe na fadhili zisizostahiliwa na amani kutoka kwa "Yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, na kutoka kwa zile roho saba zilizo mbele ya kiti chake cha ufalme, na kutoka kwa yesu Kristo, "Shahidi Mwaminifu," Mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, na "Mtawala wa wafalme wa dunia."
Kwake yeye anayetupenda na aliyetufungua kutoka katika dhambi zetu kupitia damu yake mwenyewe- naye alitufanya tuwe ufalme, makuhani kwa Mungu na Baba yake- ndiyo, kwake yeye na kuwe na utukufu na nguvu milele. Amina.
Tenzi za Rohoni namba 34. "Njoni Wenye Dhambi"
Njoni! Njoni! Wenye dhambi,
Njoni, msikawie;
Yesu awangojea ndiye awapendaye;
Ajuaye awezaye
kuwaponya ni yeye.
Ewe muhitaji uje;
Anakukaribisha,
Imani, kweli, na toba,
Neema ya kutosha,
Jua sana, kwake Bwana
Bure utapata.
Njoni, mliolemewa
Na dhambi ya Adamu;
Mkingoja kujiponya
Mtapotea mumu;
Si wa haki, ni wakosa
Waoshwao kwa damu.
Ikamtokea dhiki,
Mle Gethisemani;
Kisha alipoangikwa
Akalia mtini;
"Imekwisha" alitosha
Dhabihu ya thamani.
Kristo aliye Mbinguni
Hutuombea huko;
Basi mtumai yeye;
Kamwe mwingine hako
Yesu pweke, Yesu pweke,
Ndiye Mwokozi wako.
Wamsifu-sifu sana
Mbinguni malaika;
Wachanganya nyimbo zao
Na waliookoka:
Aleluya wataimba
Waliooshwa taka.
"Yeye anayetoa ushahidi juu ya mambo haya asema, "Ndiyo; mimi ninakuja upesi'."
"Amina! Njoo, Bwana Yesu"
Fadhili zisizostahiliwa za Bwana Yesu Kristo na ziwe pamoja na watakatifu.
NINI kwenye akili yako?
SWALI:
JIBU:
Idd Tolley Amini kwanza, ndipo utowe amri!. Mungu ASEMA; "Mwenye furaha ni mtu ambaye hakutembea katika shauri la waovu, Na katika njia ya watenda-dhambi hakusimama, Na katika kiti cha wenye dhihaki hakuketi. Bali mapendezi yake ni katika sheria ya Yehova, Naye huisoma sheria yake kwa sauti ya chini mchana na usiku" Na, Ubarikiwe, Mungu akutangulie. Amina.
Rooby Classic Simon
Shetani lazma akae.JIBU:
Idd Tolley Amini kwanza, ndipo utowe amri!. Mungu ASEMA; "Mwenye furaha ni mtu ambaye hakutembea katika shauri la waovu, Na katika njia ya watenda-dhambi hakusimama, Na katika kiti cha wenye dhihaki hakuketi. Bali mapendezi yake ni katika sheria ya Yehova, Naye huisoma sheria yake kwa sauti ya chini mchana na usiku" Na, Ubarikiwe, Mungu akutangulie. Amina.
ASKARI-JESHI. TUMIA SAWASAWA NENO
Sera ya Maudhui ya Blogger
Blogger ni huduma ya bila malipo ya kuwasiliana, kujieleza na uhuru wa mazungumzo. Tunaamini kuwa Blogger huongeza upatikanaji wa habari, huhimiza mijadala bora, na hurahisisha miunganisho mipya kati ya watu. Ni imani yetu kwamba kudhibiti maudhui haya ni kinyume na huduma inayozingatia uhuru wa kujieleza.Hata hivyo, ili kuendeleza maadili haya, tunahitaji kukabiliana na ukiukaji ambao unatishia uwezo wetu wa kutoa huduma hii na uhuru wa kujieleza unaohimizwa. Kwa hivyo, kuna mipaka kuhusu aina ya maudhui ambayo yanaweza kutumika kwenye Blogger. Mipaka ambayo tumeweka ni ile ambayo inaafikiana na mahitaji ya kisheria na kuboresha huduma kwa jumla.
Kama utaona blogu ambayo unaamini kuwa inakiuka sera zetu, tafadhali tueleze kwa kutumia kiungo cha 'Ripoti Matumizi Mabaya' kinachopatikana sehemu ya juu ya kila blogu chini ya menyu kunjuzi ya 'Zaidi'. Kama mmiliki wa blogu ameficha kiungo hiki, bado unaweza kuripoti matumizi mabaya katika Kituo cha Msaada cha Blogger.
Mipaka ya Maudhui
Sera zetu za maudhui zina jukumu muhimu katika kuwadumishia matumizi mazuri, nyinyi watumiaji. Tafadhali heshimu maelekezo haya. Mara kwa mara, tunaweza kubadilisha sera zetu za maudhui kwa hivyo tafadhali rejelea hapa. Pia, tafadhali kumbuka kuwa wakati wa kutumia sera zilizo hapo chini, tunaweza kutofuata kanuni kwa msingi wa kisanii, kielimu, filamu ionyeshayo hali halisi, au kisayansi au ambapo kuna manufaa mengine makubwa kwa umma kutokana na kutoyachukulia maudhui hatua.
Maudhui ya Watu Wazima:
Tunaruhusu maudhui ya watu wazima kwenye Blogger, ikiwa ni pamoja na
picha au video zenye watu walio uchi au shughuli za kufanya mapenzi.
Lakini, alamisha blogu yako kama ya 'watu wazima' katika mipangilio ya
Blogger yako. Tunaweza kualamisha blogu zilizo na maudhui ya watu wazima
ambazo wenyewe hawajazialamisha. Blogu zote ambazo zimealamishwa
'maudhui ya watu wazima' zitawekwa chini ya kitengo cha 'maudhui ya watu
wazima'. Ikiwa blogu yako ina onyo la kitengo, tafadhali usijaribu
kukiondoa au kuzima kitengo hicho - ni cha kulinda kila mtu.
Sera yetu ya maudhui ya watu wazima inaweza kubatilishwa:
Maudhui Ghafi: Usichapishe maudhui ili kutisha au kuudhi. Kwa mfano, mikusanyiko ya picha za karibu za majeraha ya risasi au matukio ya ajali bila maudhui au maelezo ya ziada yatakeuka sera hii.
Vurugu: Usiwatishe watu wengine kwenye blogu yako. Kwa mfano, usichapishe vitisho vya mauaji dhidi ya mtu au kundi lingine la watu na usichapishe maudhui yanayowahimiza wasomaji wako kuchukua hatua ya vurugu dhidi ya mtu mwingine au kundi lingine la watu.
Unyanyasaji: Usinyanyase au kuwachokoza wengine. Yoyote anayetumia Blogger kunyanyasa au kuchokoza anaweza maudhui yanayochukiza kuondolewa na anaweza kupigwa marufuku kabisa kwenye tovuti. Unyanyasaji wa mtandaoni pia sio halali katika maeneo mengi na unaweza kuwa na athari mbaya sana nje ya mtandao.
Hakimiliki: Ni sera yetu kujibu arifa wazi za madai ya ukiukaji wa hakimiliki. Maelezo zaidi kuhusu taratibu zetu za hakimiliki yanaweza kupatikana hapa. Pia, tafadhali usitoe viungo kwa tovuti ambazo wasomaji wako wanaweza kutekeleza upakuaji usioruhusiwa wa maudhui ya watu wengine.
Maelezo ya kibinafsi na ya faragha: Si sawa kuchapisha maelezo ya kibinafsi na ya faragha ya mtu mwingine. Kwa mfano, usichapishe nambari za kadi ya mkopo, nambari za Usalama wa Jamii, nambari za simu zisizoorodheshwa, na nambari za leseni ya dereva za mtu mwingine. Pia, tafadhali kumbuka kuwa mara nyingi, maelezo ambayo tayari yanapatikana pahali pengine kwenye mtandao au katika rekodi za umma hayachukuliwi kuwa ya kibinafsi au ya faragha chini ya sera zetu.
Kuiga wengine: Tafadhali usiwapotoshe au kuwachanganya wasomaji kwa kujifanya kuwa mtu mwingine au kujifanya kuwasilisha shirika. Hatusemi huwezi kuchapisha mwigo wa kubeza au tashtiti - epuka tu maudhui yanayoweza kupotosha wasomaji kuhusu utambulisho wako halisi.
Shughuli haramu: Usitumie Blogger kujihusisha katika shughuli haramu au kuundeleza shughuli hatari na haramu. Kwa mfano, usiandike blogu inayowahimiza watu kuendesha gari wakiwa walevi. Tafadhali pia usitumie Blogger kuuza au kutangaza mihadarati. Vinginevyo, tunaweza kufuta maudhui yako. Pia, katika hali mbaya kama zinazohusisha unyanyasaji wa watoto, tunaweza kukushtaki kwa mamlaka husika.
Bidhaa na Huduma Zilizodhibitiwa: Usitumie Blogger kuuza au kurahisisha uuzaji wa bidhaa na huduma zilizodhibitiwa, kwa mfano pombe, karata, dawa na nyongeza ambazo hazijaidhinishwa, tumbaku, fataki, silaha au vifaa vya afya/matibabu.
Taka: Taka ni za aina mbalimbali katika Blogger, zote zinaweza kusababisha ufutaji wa akaunti au blogu yako. Baadhi ya mifano ni pamoja na kufungua blogu zilizoundwa kuendesha trafiki kwenye tovuti yako au kuisogeza juu katika orodha ya utafutaji, kuchapisha maoni kwenye blogu za watu wengine ili tu kuendeleza tovuti au bidhaa yako, na kuchapisha maudhui kutoka nyenzo nyingine kwa madhumuni msingi ya kuzalisha mapato au manufaa mengine ya kibinafsi.
}Programu hasidi na virusi: Usiunde blogu zinazosambaza virusi, kusababisha madirisha-ibukizi, kujaribu kusakinisha programu bila idhini ya msomaji au vinginevyo kuwaathiri wasomaji na msimbo hasidi. Haya hayaruhusiwi kabisa kwenye Blogger.
Sera yetu ya maudhui ya watu wazima inaweza kubatilishwa:
- Usitumie Blogger kuchuma pesa kutoka kwa maudhui ya watu wazima. Kwa mfano, usiunde blogu zilizo na matangazo au viungo vya tovuti za biashara ya filamu za ngono.
- Haturuhusu maudhui ya picha, video au maandishi yanayoashiria ubakaji, kufanya ngono na jamaa, wanyama au maiti.
- Usichapishe au kusambaza picha za kibinafsi za uchi au picha za kingono au video zako, tafadhali ziripoti kwetu hapa.
- Ponografia ya watoto:Tutafuta akaunti za mtumiaji yeyote tutakayepata akichapisha au kusambaza ponografia ya watoto. Pia tutamripoti mtumiaji huyo kwa watekelezaji wa sheria.
- Ashiki ya watoto: Haturuhusu maudhui yanayohimiza au kukweza mvutio wa kingono kwa watoto. Kwa mfano, usifungue blogu zilizo na ghala za picha za watoto ambapo mkusanyiko wa picha au maandishi yanayoambatana na picha ni ya kulenga tabia za kingono.
Maudhui Ghafi: Usichapishe maudhui ili kutisha au kuudhi. Kwa mfano, mikusanyiko ya picha za karibu za majeraha ya risasi au matukio ya ajali bila maudhui au maelezo ya ziada yatakeuka sera hii.
Vurugu: Usiwatishe watu wengine kwenye blogu yako. Kwa mfano, usichapishe vitisho vya mauaji dhidi ya mtu au kundi lingine la watu na usichapishe maudhui yanayowahimiza wasomaji wako kuchukua hatua ya vurugu dhidi ya mtu mwingine au kundi lingine la watu.
Unyanyasaji: Usinyanyase au kuwachokoza wengine. Yoyote anayetumia Blogger kunyanyasa au kuchokoza anaweza maudhui yanayochukiza kuondolewa na anaweza kupigwa marufuku kabisa kwenye tovuti. Unyanyasaji wa mtandaoni pia sio halali katika maeneo mengi na unaweza kuwa na athari mbaya sana nje ya mtandao.
Hakimiliki: Ni sera yetu kujibu arifa wazi za madai ya ukiukaji wa hakimiliki. Maelezo zaidi kuhusu taratibu zetu za hakimiliki yanaweza kupatikana hapa. Pia, tafadhali usitoe viungo kwa tovuti ambazo wasomaji wako wanaweza kutekeleza upakuaji usioruhusiwa wa maudhui ya watu wengine.
Maelezo ya kibinafsi na ya faragha: Si sawa kuchapisha maelezo ya kibinafsi na ya faragha ya mtu mwingine. Kwa mfano, usichapishe nambari za kadi ya mkopo, nambari za Usalama wa Jamii, nambari za simu zisizoorodheshwa, na nambari za leseni ya dereva za mtu mwingine. Pia, tafadhali kumbuka kuwa mara nyingi, maelezo ambayo tayari yanapatikana pahali pengine kwenye mtandao au katika rekodi za umma hayachukuliwi kuwa ya kibinafsi au ya faragha chini ya sera zetu.
Kuiga wengine: Tafadhali usiwapotoshe au kuwachanganya wasomaji kwa kujifanya kuwa mtu mwingine au kujifanya kuwasilisha shirika. Hatusemi huwezi kuchapisha mwigo wa kubeza au tashtiti - epuka tu maudhui yanayoweza kupotosha wasomaji kuhusu utambulisho wako halisi.
Shughuli haramu: Usitumie Blogger kujihusisha katika shughuli haramu au kuundeleza shughuli hatari na haramu. Kwa mfano, usiandike blogu inayowahimiza watu kuendesha gari wakiwa walevi. Tafadhali pia usitumie Blogger kuuza au kutangaza mihadarati. Vinginevyo, tunaweza kufuta maudhui yako. Pia, katika hali mbaya kama zinazohusisha unyanyasaji wa watoto, tunaweza kukushtaki kwa mamlaka husika.
Bidhaa na Huduma Zilizodhibitiwa: Usitumie Blogger kuuza au kurahisisha uuzaji wa bidhaa na huduma zilizodhibitiwa, kwa mfano pombe, karata, dawa na nyongeza ambazo hazijaidhinishwa, tumbaku, fataki, silaha au vifaa vya afya/matibabu.
Taka: Taka ni za aina mbalimbali katika Blogger, zote zinaweza kusababisha ufutaji wa akaunti au blogu yako. Baadhi ya mifano ni pamoja na kufungua blogu zilizoundwa kuendesha trafiki kwenye tovuti yako au kuisogeza juu katika orodha ya utafutaji, kuchapisha maoni kwenye blogu za watu wengine ili tu kuendeleza tovuti au bidhaa yako, na kuchapisha maudhui kutoka nyenzo nyingine kwa madhumuni msingi ya kuzalisha mapato au manufaa mengine ya kibinafsi.
}Programu hasidi na virusi: Usiunde blogu zinazosambaza virusi, kusababisha madirisha-ibukizi, kujaribu kusakinisha programu bila idhini ya msomaji au vinginevyo kuwaathiri wasomaji na msimbo hasidi. Haya hayaruhusiwi kabisa kwenye Blogger.
Utekelezaji wa Sera ya Maudhui ya Blogger
Tafadhali tupe ripoti ya tuhuma za ukiukaji wa sera kwa kutumia kiungo cha 'Ripoti Matumizi Mabaya ' kinachopatikana sehemu ya juu ya kila blogu chini ya menyu kunjuzi ya ' Zaidi' au kwa kubofyahapa.Timu yetu hukagua ripoti za wanaotumia huduma kuhusu ukiukaji wa sera. Kama blogu haikiuki sera zetu, hatutachukua hatua yoyote dhidi ya blogu hiyo au mmiliki wa blogu. Kama tutatambua kuwa blogu inakiuka sera zetu za maudhui, tutachukua mojawapo wa hatua zifuatazo, kulingana na kiwango cha ukiukaji:
- Weka blogu nyuma ya skrini ya ' maudhui ya watu wazima & # 39;
- Weka blogu nyuma ya skrini ambapo ni mwandishi wa blogu pekee ndiye anayeweza kufikia maudhui
- Futa maudhui mabaya, chapisho la blogu au blogu
- Zima uwezo wa mwandishi wa kufikia akaunti yake ya Blogger
- Zima uwezo wa mwandishi wa kufikia akaunti yake ya Google
- Ripoti mtumiaji kwa watekelezaji wa sheria
FUNDISHWA, FUNDISHA, FUNDISHO LENYE AFYA
Hawa ndio Mungu aliwachagua ili waje wanifundishe juu ya neno Takatifu la Mwenyezi Mungu kwa kupitia Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai milele na milele. Pia na nyie ndugu zangu wote kokote mlipo basi pokeeni shukrani zangu. Amina.
Mbarikiwe sana Baba zangu ambao mmenitoa kutoka katika Dunia iliyokuwa bila umbo, na ukiwa, na giza lilikuwa juu ya uso wa kilindi cha maji, na nguvu za utendaji za Mungu zilikuwa zikienda huku na huku juu ya uso wa maji. Ila Mungu mwenyewe akasema; "Kuwe na nuru." kukawa na nuru. Kisha Mungu akaona ya kuwa nuru ilikuwa nzuri. Mungu akatenganisha nuru na giza. Na sasa nipo hivi nilivyo.
Kwahiyo napenda kuwa ambia ndugu zangu kwamba; "Mungu yupo na anatenda kazi zake kila siku, anasubiri, mtu amuite ili aanze kutenda kazi. Basi sasa, Kama wewe ni, wa, Dini yeyote hile Ninacho kuomba nennda unakokujua na kisha umrudie Mungu wako.
Fadhili zisizostahiliwa za Bwana Yesu Kristo na ziwe pamoja na watakatifu.
Amina.
JIBU NA ELIMU NILIYOMPA RAFIKI YANGU KIPENZI AMBAE ALIJALIBU KUTAKA KUNISHAWISHI ILI NICHUKIE DINI NYINGINE!
Basi nawe kama una ushauri, basi jitoe ili tufundishane.
![]() |
Uumbe moyo safi ndani yangu, Ee Mungu, Na kuweka ndani yangu roho mpya, iliyo imara. |
Kabla sijakujibu, ebu nikwambie; "nimefurahi sana ulivyo jibu hivyo" kwani Mungu anamakusudi yake. Unajua sisi bado atujajua kwamba Dini ni nini?, Dini ni jina tu kama majina mengine, ila Wokovu ni kitendo cha kukubali kwamba; "Umekubali kumkataa shetani na dhambi zake zote, na kukubali kumpokea Mungu kuwa bwana na Mkombozi wa maisha yako".
Basi sasa, sisi kama wote ni Binadamu, hatupaswi kugombana wala kukashifiana kwa sababu ya Dini!. Sasa nachokuomba ndugu yangu unielewe kwamba; "Dini zote tuna amini kwamba tunaishi kwa sababu ya Mungu", basi sasa ngoja nikutume ili uende ukawaambie na wenzako kwamba; "Hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Dunia. Dunia ilikuwa bila umbo, na ukiwa, na giza lilikuwa juu ya uso wa kilindi cha maji, na nguvu za utendaji za Mungu zilikuwa zikienda huku na huku juu ya uso wa maji", basi Mungu akaendelea kufanya mambo mengi sana hadi sisi kufikia hapa tulipo. Ila kama ukifuatilia sana mbele utakuja kuana kwamba, Mungu akamtuma mwanae ambae anaitwa Bwana na Mkombozi wa maisha yetu, Kristo Yesu, ambaye alikuwapo hata katika dini zingine akitambulika kwa jina la; "Bwana na Mkombozi wa maisha yetu 'Isa Ibn Maryam', ambaye ukifuatilia historia yake utagundua ya kwamba kila sehemu alikuwa na jina lake.akaendelea.
Na ubarikiwe sana ndugu yangu. Kwani nimetambua kwamba Mungu anakupenda, hadi ikafikia hatua ya wewe kuniuliza swali kama ilo. Amini kwamba Mungu yupo na anatenda. Amina.
Alhamisi, 14 Mei 2015
KUJIPAMBA. CHOMBO DHAIFU. KUJITETEA
![]() |
Wakristo wote lazima wawe wahudumu |
Mpendwa, mimi nasali kwamba uwe ukiendelea vema na kuwa na
afya njema katika mambo yote, kama vile nafsi yako inavyoendelea vema. Kwa
maana nilishangilia sana wakati akina ndugu walipokuja na kutoa ushahidi kuhusu
kweli ambayo wewe unashika, kama vile unavyoendelea kutembea katika kweli. Sina
sababu nyingine kubwa zaidi ya kuwa na shukrani kuliko mambo haya, kwamba niwe
nikisikia ndugu zangu wanaendelea kutembea katika kweli. Mpendwa, unafanya kazi
ya uaminifu kwa yoyote unayofanya kwa ajili ya akina ndugu, tena walio wageni,
ambao wametoa ushahidi kuhusu upendo wako mbele ya kutaniko.
Tafadhali uishughulikie safari ya hawa watu kwa namna
inayomfaa Mungu. Kwa maana hata manabii wa kale walisafiri kwa ajili ya jina
lake, bila kuchukua kitu chochote kutoka kwa watu wa mataifa. Kwa hiyo, sisi
tuna wajibu wa kuwakaribisha watu wa
namna hiyo, ili tuwe wafanyakazi wenzi katika kweli.
Amina.
Je, ungependa kupata habari zaidi kuhusu Google?
KUTOKANA NA UTUMIAJI WANGU MBOVU WA GOOGLE HAPO MWANZO, LEO HII NAPENDA KUNUKUU;
Hii ni baada ya kugundua ya kwamba hapo mwanzo nilikuwa sifahamu umuhimu wa;
Kwani nilikuwa nikiangalia; picha za ngono, na mambo mengine mengi yasiyopendeza machoni pa Bwana Mungu wetu. Nakuomba nawe ndugu yangu usome na uelewe dhumuni la;
Sheria na Masharti ya Google
Ilibadilishwa mwisho tarehe: 14 Aprili 2014 (angalia matoleo yaliyohifadhiwa)Karibu Google!
Asante kwa kutumia bidhaa na huduma zetu (“Huduma”). Huduma zenyewe zinatolewa na Google Inc. (“Google”), kampuni inayopatikana 1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View, CA 94043, United States.Kwa kutumia Huduma zetu, unakubaliana na masharti haya. Tafadhali yasome kwa makini.
Huduma zetu zinatofautiana, kwa hivyo wakati mwingine masharti ya ziada au matakwa ya bidhaa (pamoja na masharti ya umri) yanaweza kutumika. Masharti ya ziada yatapatikana kwenye Huduma husika, na masharti hayo ya ziada huwa sehemu ya mkataba kati yako nasi kama unatumia Huduma hizo.
Kutumia Huduma zetu
Lazima ufuate sera zozote zinazotolewa kwako kwenye Huduma zetu.Usitumie Huduma zetu vibaya. Kwa mfano, usivuruge Huduma zetu au kujaribu kuzifikia kwa kutumia mbinu nyingine isipokuwa kiolesura na maagizo tunayotoa. Unaweza kutumia Huduma zetu kama inavyoruhusiwa kisheria tu, zikiwemo sheria na kanuni husika za kudhibiti uuzaji na uuzaji tena wa bidhaa kwa nchi za kigeni. Tunaweza kusimamisha au kusitisha utoaji wa Huduma zetu kwako kama hutafuata masharti au sera zetu au kama tunachunguza mwenendo mbaya tunaoshuku.
Kutumia Huduma zetu hakukupi umiliki wa hakimiliki zozote katika Huduma zetu au maudhui unayoyapata. Huwezi kutumia maudhui kutoka kwenye Huduma zetu bila ruhusa ya mmiliki wake au umeruhusiwa vinginevyo kisheria kufanya hivyo. Masharti haya hayakupi haki ya kutumia rajamu au nembo zozote zinazotumiwa katika Huduma zetu. Usiondoe, usifute wala usibadilishe taarifa zozote za kisheria zinazoonyeshwa ndani ya au pamoja na Huduma zetu.
Huduma zetu huonyesha maudhui mengine ambayo si ya Google. Maudhui hayo ni wajibu wa yule anayeyatoa peke yake. Tunaweza kutathmini maudhui ili kuamua kama ni kinyume cha sheria au yanakiuka sera zetu, na tunaweza kuondoa au kukataa kuyaonyesha maudhui tunayoamini yanakiuka sera zetu au sheria. Lakini hiyo haimaanishi ya kwamba tunatathmini maudhui kila wakati, kwa hivyo tafadhali usidhani kuwa tunafanya hivyo.
Kuhusiana na matumizi yako ya Huduma, tunaweza kukutumia matangazo ya arafi za huduma, ujumbe wa usimamizi na maelezo mengine. Unaweza kuamua kujiondoa kwenye baadhi ya mawasiliano hayo.
Baadhi ya Huduma zetu zinapatikana kwenye vifaa vya mkononi. Usitumie Huduma kama hizo katika njia ambayo inakutatiza na kukuzuia kutii sheria za trafiki au za usalama.
Akaunti yako ya Google
Huenda ukahitaji Akaunti ya Google kutumia baadhi ya Huduma zetu. Unaweza kubuni Akaunti yako ya Google mwenyewe, au unaweza kupewa Akaunti ya Google na msimamizi, kama vile mwajiri wako au taasisi ya elimu. Kama unatumia Akaunti ya Google uliyopewa na msimamizi, masharti tofauti au ya ziada yanaweza kutumika na msimamizi wako anaweza kufikia au kufunga akaunti yako.Ili kulinda Akaunti yako ya Google, weka nenosiri lako siri. Unawajibika kwa shughuli ambayo inafanyika au kupitia Akaunti yako ya Google. Jaribu kutotumia tena nenosiri lako la Akaunti ya Google kwenye programu zingine. Ukitambua matumizi yoyote ambayo hayajaidhinishwa ya nenosiri lako au Akaunti ya Google fuata maagizo haya.
Ulinzi wa Faragha na Hakimiliki
Sera za faraghaza Google huelezea tunavyoshughulikia data yako ya kibinafsi na kulinda faragha yako unapotumia Huduma zetu. Kwa kutumia Huduma zetu, unakubali kwamba Google inaweza kutumia data hiyo kulingana na sera zetu za faragha.Huwa tunajibu taarifa za madai ya ukiukaji wa hakimiliki na kufunga akaunti za wakiukaji sugu kulingana na utaratibu uliowekwa katika sheria ya U.S. Digital Millennium Copyright Act.
Tunatoa habari kusaidia wenye hakimilki wadhibiti haki zao za uvumbuzi mtandaoni. Kama unafikiria kuna mtu anayekiuka hakimiliki zako na unataka kutujulisha, unaweza kupata maelezo kuhusu jinsi ya kuwasilisha taarifa na sera ya Google kuhusu kujibu ilani kwenye Kituo chetu cha Msaada.
Maudhui yako katika Huduma zetu
Baadhi ya Huduma zetu zinakuruhusu upakiE, uwasilishe, utume au upokee maudhui. Unabakia na umiliki wa haki zozote za uvumbuzi ambazo unazo katika maudhui hayo. Kwa ufupi, kilicho chako kinabaki chako.Unapopakia, wasilisha, hifadhi, kutuma au kupokea maudhui kwenye au kupitia Huduma zetu, unaipa Google (na wale ambao tunafanya kazi nao) leseni ya duniani kote ya kutumia, kupangisha, kuhifadhi, kuzalisha upya, kurekebisha, kuunda miigo ya kazi (kama ile inayotokana na kutafsiri, marekebisho au mabadiliko mengine tunayoyafanya ili maudhui yako yafanye kazi vyema na Huduma zetu), kuwasiliana, kuchapisha, kutekeleza hadharani, kuonyesha hadharani na kusambaza maudhui kama hayo. Haki unazotoa katika leseni hii ni ya nia ya uendeshaji, ukuzaji, na kuboresha Huduma zetu, na kukuza mpya. Leseni hii inaendelea hata kama utawacha kutumia Huduma zetu (kwa mfano, kwa orodha ya biashara ulyioongeza kwenye Ramani za Google). Baadhi ya Huduma zinaweza kupa njia za kufikia na kuondoa maudhui ambayo yametolewa kwa Huduma hiyo. Pia, katika baadhi ya Huduma zetu, kuna masharti au mipangilio inayo punguza eneo la utumiaji wetu wa maudhui yaliowasilishwa katika huduma hizo. Hakikisha una haki zinazohitajika kutupa leseni kwa maudhui yoyote ambayo unawasilisha kwa Huduma zetu.
Mifumo yetu ya kiotomatiki huchanganua maudhui yako (ikiwa ni pamoja na barua pepe) ili kukupa kibinafsi vipengele husika vya bidhaa, kama vile matokeo ya utafutaji yaliobinafsishwa, utangazaji ulio binafsishwa, na ugunduaji barua taka na programu hasidi. Uchambuzi huu hutokea wakati maudhui yanatumwa, kupokewa, na wakati yanahifadhiwa.
Ikiwa una Akaunti ya Google, tunaweza kuonyesha jina lako la Wasifu, picha ya Wasifu, na vitendo unavyovichukua kwenye Google au kwenye programu zingine zilizounganishwa kwenye Akaunti yako ya Google (kama vile +1, ukaguzi unaouandika na maoni unayoyachapisha) katika Huduma zetu, ikiwa ni pamoja na kuonyesha katika matangazo na miktadha mingine ya kibiashara. Tutaheshimu chaguo utakazozifanya ili kuzuia kushiriki au mipangilio ya mwonekano katika Akaunti yako ya Google. Kwa mfano, unaweza kuchagua mipangilio yako ili jina na picha yako zisionekane katika tangazo.
Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyotumia na kuhifadhi maudhui katika sera ya faragha au masharti ya ziada ya Huduma mahususi. Ukitoa maoni au mapendekezo kuhusu Huduma zetu, tunaweza kutumia maoni na mapendekezo yako bila kuwajibika kwako.
Kuhusu Programu katika Huduma zetu
Wakati Huduma inahitaji au inajumuisha programu inayoweza kupakuliwa, programu hii inaweza kujisasisha kiotomatiki kwenye kifaa chako mara toleo jipya au kipengee kipya kinapopatikana. Baadhi ya Huduma zinaweza kukuruhusu urekebishe mipangilio yako ya kujisasisha.Google inakupa leseni ya kibinafsi, duniani kote, bila ada, isiyoweza kuhamishwa kwa mwingine na isiyowaondoa wengine, ya kutumia programu iliyotolewa kwako na Google kama sehemu ya Huduma. Leseni hii lengo lake la pekee ni kukuwezesha kutumia na kufurahia faida ya Huduma kama zinavyotolewa na Google, kwa jinsi inayoruhusiwa na masharti haya. Huruhusiwi kunakili, kubadilisha, kusambaza, kuuza au kukodisha sehemu yoyote ya Huduma zetu au programu zilizojumuishwa, wala huruhusiwi kufanya uhandisi wa kinyume au kujaribu kudondoa msimbo asili wa programu hiyo, isipokuwa sheria iwe inazuia vikwazo hivyo au una ruhusa yetu kimaandishi.
Programu huria ni muhimu kwetu. Baadhi ya programu zinazotumika katika Huduma zetu zinaweza kutolewa chini ya leseni ya programu huria ambayo tutatoa kwako. Kunaweza kuwa na vipengele katika leseni ya programu huria ambavyo vinabatilisha baadhi ya masharti haya.
Kubadilisha na Kukatisha Huduma zetu.
Tunabadilisha na kuboresha Huduma zetu kila wakati. Tunaweza kuongeza au kuondoa utendakazi au vipengee, na tunaweza kusimamisha au kusitisha Huduma kabisa.Unaweza kuacha kutumia Huduma zetu wakati wowote, ingawa tutasikitika kukupoteza. Google inaweza kuacha kukupa Huduma, inaweza pia kuongeza au kuweka mipaka mipya kwa huduma zetu wakati wowote.
Tunaamini kuwa unamiliki data yako na kuhifadhi ufikiaji wako kwa data hiyo ni muhimu. Tukiondoa Huduma, inapowezekana, tutakupa ilani ya muda ufaao na nafasi ya kuondoa maelezo kwenye Huduma hiyo.
Hakikisho na Kanusho Zetu
Tunatoa Huduma zetu kwa kutumia kiwango cha ujuzi na uangalifu wa kibiashara unaofaa na tunatumaini utafurahia kuzitumia. Lakini kuna mambo fulani ambayo hatuahidi kuhusu Huduma zetu.ISIPOKUWA KAMA ILIVYOTAJWA WAZIWAZI KATIKA MASHARTI HAYA AU MASHARTI YA ZIADA, GOOGLE, WATOA HUDUMA AU WASAMBAZAJI WAKE HAWATOI AHADI YOYOTE MAHUSUSI KUHUSU HUDUMA. KWA MFANO, HATUTOI AHADI ZOZOTE KUHUSU MAUDHUI KATIKA HUDUMA, UTENDAKAZI MAHUSUSI WA HUDUMA, AU UTHABITI WAKE, UPATIKANAJI, AU UWEZO WA KUTIMIZA MAHITAJI YAKO. TUNATOA HUDUMA “KAMA ILIVYO”
BAADHI YA MAENEO YA UTAWALA HUTOA HAKIKISHO FULANI, KAMA VILE HAKIKISHO LISILOTAJWA LA KUFAA KWA MAUZO, KUFAA KWA LENGO FULANI NA KUTOUKIUKA. KADRI INAVYORUHUSIWA NA SHERIA, TUNAONDOA HAKIKISHO LOLOTE.
Dhima ya Huduma zetu
WAKATI IMERUHUSIWA NA SHERIA, GOOGLE, NA WATOA HUDUMA NA WASAMBAZAJI WAKE, HAWATAWAJIBIKA KWA FAIDA ILIYOPOTEA, MAPATO, AU DATA, HASARA YA FEDHA AU FIDIA MAALUM, ISIYO YA MOJA KWA MOJA, YA KUAMBATANA, AU YA KIPEKEE.KADRI INAVYORUHUSIWA NA SHERIA, JUMLA YA DHIMA YA GOOGLE, NA WATOA HUDUMA NA WASAMBAZAJI WAKE, KWA MADAI YOYOTE CHINI YA MASHARTI HAYA, PAMOJA NA HAKIKISHO ZILIZODOKEZWA, ITAKOMEA IDADI YA PESA ULIYOTULIPA KUTUMIA HUDUMA (AU, TUKICHAGUA, KUKUPA HUDUMA TENA).
KATIKA HALI ZOTE, GOOGLE NA WATOA HUDUMA NA WASAMBAZAJI WAKE, HAWATAWAJIBIKA KWA HASARA AU UHARIBIFU AMBAO HAUWEZI KUTARAJIWA KWA KAWAIDA.
Matumizi ya kibiashara ya Huduma zetu
Kama unatumia Huduma zetu kwa niaba ya biashara, biashara hiyo inayakubali masharti haya. Itaichukulia Google kuwa bila hatia na itaifidia pamoja na washirika wake, maafisa, mawakala, na wafanyakazi kutokana na madai yoyote, mashtaka au kesi kutokana na au kuhusiana na matumizi ya Huduma au ukiukaji wa masharti haya, ikiwa ni pamoja na dhima au gharama yoyote kutokana na madai, hasara, uharibifu, mashtaka, hukumu, gharama za mashtaka na ada za wakili.Kuhusu Masharti haya
Tunaweza kubadilisha masharti haya au masharti ya ziada yanayotumika kwa Huduma, kwa mfano, kuonyesha mabadiliko katika sheria au mabadiliko katika huduma zetu. Inafaa uangalie masharti haya mara kwa mara. Tutaweka taarifa za marekebisho ya masharti haya kwenye ukurasa huu. Tutaweka taarifa ya masharti ya ziada yaliyorekebishwa katika Huduma husika. Mabadiliko hayatatekelezwa kwa wakati uliopita na yataanza kufanya kazi baada ya angalau siku kumi na nne baada ya kuchapishwa. Lakini, mabadiliko yanayoshughulikia utendakazi mpya wa Huduma au mabadiliko yaliyofanywa kwa sababu za kisheria yatatumika mara moja. Kama hukubaliani na masharti yaliyobadilishwa ya Huduma fulani, unfaa uache kutumia Huduma hiyo.Kama kuna ukinzani kati ya masharti haya na masharti ya ziada, masharti ya ziada yatadhibiti ukinzani huo.
Masharti haya yadhibiti uhusiano kati yako na Google. Hayaleti haki zozote kufaidi mhusika mwingine.
Kama hutii masharti haya, na hatuchukui hatua mara moja, hii haimaanishi ya kwamba tunasalimisha haki zozote ambazo tunazo (kama vile kuchukua hatua baadaye).
Ikitokea kwamba sharti fulani haliwezikutekelezwa, hili halitaathiri masharti mengine yoyote.
Sheria za California, U.S.A, isipokuwa sheria za mgongano wa sheria za California, zitatumika kwa mizozo yoyote kutokana au kuhusiana na masharti haya au Huduma. Mashtaka yote yanayotokana na au yanayohusiana na masharti haya au Huduma, yatapelekwa katika mahakama za nchi au jimbo la Santa Clara, California, USA, na wewe na Google mnakubali kuwa chini ya mamlaka ya sheria katika mahakama hizo.
NI SWALI ZURI LENYE KUPENDEZA MACHONI PA MWANADAMU
Basi kabla ujajibu swali hili, ingependeza ujinyenyekeze
mbele za Mungu wetu kwa kuomba “ili mtu ajue hekima na nidhamu na kutambua
maneno ya uelewaji, apokee nidhamu ambayo
humpa mtu ufahamu, uadilifu na haki na unyoofu, kuwapa werevu wale wasio
na uzoefu, kumpa kijana ujuzi na uwezo wa kufikiri.” Amina.
Narejea kwenye swali!
TAMAA, UJANANI. NYAKATI ZA HATARI.
Ufunuo kupitia Yesu
Kristo, ambao Mungu alimpa, kuwaonyesha watumwa wake mambo ambayo lazima
yatendeke upesi.
Nazani kama ni
wafuatiliaji wazuri wa hile historia ya Mussa rafiki yangu kipenzi
aliyechaguliwa na Bwana Mungu wetu aliye juu mbinguni, Basi leo hii tutaanza na
historia hii ya ndugu yetu Mpenzi Yohana niliyekutana nae alfajiri ya leo
mida ya saa 04:08 ikiwa ni tarehe
14.05.2015 ilikuwa ni baada ya kumaliza kuimba nyimbo za Tenzi za Rohoni,
ambayo ni Tenzi namba 103. Kaa Nami, Tenzi namba 23. Ni Salama Rohoni Mwangu,
Tenzi namba 64. Ujaribiwapo, Sifanye Dhambi, Tenzi namba 121. Liko Lango Moja Wazi. Kiukweli kwa upande wangu,
ulikuwa ni usiku mzuri sana, kwani niliona Malaika wakishangilia kwa furaha,
huku Roho Takatifu aliyopo ndani yangu akifurahi hadi kifua kilikuwa kinaniuma,
kwa maana ungefanikiwa kushiriki katika uwepo uwo, lazima ungenena yakwamba;
“Roho za Bwana zipo ndani yetu”. “Kwa
Mungu, mwenye hekima peke yake, kuwe na utukufu kupitia Yesu Kristo milele.
Amina.
Naye alimtuma Malaika
wake na kupitia yeye akautoa kwa njia ya ishara kubwa kwa mtumwa wake Yohana,
aliyetoa ushahida kuhusu neno ambalo Mungu alitoa na kuhusu ushaidi ambao Yesu
Kristo alitoa, naam, kuhusu mambo yote aliyoyaona. Mwenye furaha ni yeye
anayesoma kwa sauti na wale wanaosikia maneno ya unabii huu, na wanaoshika
mambo yaliyoandikwa kwenye Biblia Takatifu ya neno la Mungu; kwa maana wakati
uliowekwa uko karibu.
Kisha akasema; (Na
muwe na fadhili zisizostahiliwa na amani kutoka kwa “Yule aliyeko na
aliyekuwako na anayekuja, na kutoka kwa zile roho saba zilizo mbele ya kiti
chake cha ufalme, na kutoka kwa Yesu Kristo, “Shahidi Mwaminifu,” “ Mzaliwa wa
kwanza kutoka kwa wafu,” na “Mtawala wa wafalme wa dunia”.
Kwake yeye
anayetupenda na aliyetufungua kutoka katika dhambi zetu kupitia damu yake mwenyewe.
Paulo, mtume wa
Kristo Yesu kupitia mapenzi ya Mungu kulingana na ahadi ya uzima ulio katika
muungano na Kristo Yesu, Kwa Temotheo, mtoto mpendwa;
Na kuwe na fadhili
zisizostahiliwa, rehema, amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Paulo, Anamaliza kwa
kusema; “Lakini ujue jambo hili, ya kwamba katika siku za mwisho kutakuwa na
nyakati za hatari zilizo ngumu kushughulika nazo. Kwa maana watu watakuwa wenye
kujipenda wenyewe, wenye kupenda pesa, wenye kujidai, wenye majivuno, wakufuru,
wasiotii wazazi, wasio na shukrani, wasio washikamanifu, wasio na upendo wa
asili, wasiotaka makubaliano yoyote, wachongezi, wasiojizuia, wakali,
wasiopenda wema, wasaliti, wenye vichwa vigumu, wenye kujivuna kwa kiburi,
wanaopenda raha badala ya kumpenda Mungu wakiwa
na namna ya ujitoaji-kimungu lakini wakizikana nguvu zake; nawe geukia
mbali kutoka kwa hao. Kwa maana kutoka kwa watu hao huinuka wale watu
wanaojiingiza kwa ujanja katika nyumba na kuwachukua mateka wanawake walio
dhaifu ambao wamelemewa na mizigo ya dhambi, wanaoongozwa na tamaa za namna
mbalimbali, wakijifunza sikuzote na bado hawawezi kamwe kufikia ujuzi sahihi
juu ya kweli.
Kwa hiyo, zikimbie
tama zinazotukia ujanani, lakini fuatilia uadilifu, imani, upendo, amani,
pamoja na wale wanaomwita Bwana kutokana na moyo safi.
Hapa, Yesu
Kristo naye akafungua kinywa chake na kuanza kunifundisha “kuwafundisha”,
akisema:
“Wenye furaha ni wale
wanaotambua uhitaji woa wa kiroho, kwa kuwa ufalme wa mbinguni ni wao.
“Wenye furaha ni wale
wanaoombeleza, kwa kuwa watafarijiwa.
“Wenye furaha ni wale
walio na tabia-pole, kwa kuwa watarithi dunia.
“Wenye furaha ni wale
walio na njaa na walio na kiu kwa ajili ya uadilifu, kwa kuwa watashibishwa.
“Wenye furaha ni wale
walio na rehema, kwa kuwa wataonyeshwa rehema.
“Wenye furaha ni wale
walio safi moyoni, kwa kuwa watamwona Mungu.
“Wenye furaha ni wale
wanaofanya amani, kwa kuwa wataitwa ‘wana wa Mungu.’
“Wenye furaha ni wale
ambao wameteswa kwa ajili ya uadilifu, kwa kuwa ufalme wa mbinguni ni wao.
“Wenye furaha ni
ninyi wakati watu wanapowashutumu na kuwatesa na kusema kwa uwongo kila namna
ya jambo baya juu yenu kwa ajili yangu. Shangilieni na kuruka kwa shangwe, kwa
kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana hivyo ndivyo walivyowatesa
manabii waliokuwa kabla yenu.
“Ninyi ndio chumvi ya
dunia; lakini chumvi ikipoteza nguvu zake, ladha yake itarudishwaje? Haitumiki
tena kwa kitu chochote bali ni ya kutupwa nje ili ikanyagwe-kanyagwe na watu.
“Ninyi ndio nuru ya
ulimwengu. Jiji haliwezi kufichwa likiwa limesimama juu ya mlima. Watu huwasha
taa na kuiweka, si chini ya kikapu cha kupimia, bali juu ya kinara cha taa,
nayo huangazia watu wote waliomo ndani ya nyumba. Vivyo hivyo achene nuru yenu iangazie
mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mazuri na kumpa utukufu Baba yenu
aliye mbinguni.
“Yeye anayetoa
ushahidi juu ya mambo haya na asema, ‘Ndiyo; mimi ninakuja upesi.’”
“Amina! Njoo, Bwana
Yesu.”
Fadhili
zisizostahiliwa za Bwana Yesu Kristo na ziwe pamoja na watakatifu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)